October 9, 2014

YOUTH CAN TEAM WAZIDI KUTOA ELIMU YA VITENDO KATIKA SHULE MBALI MBALI ZA DAR ES SALAAM KUHUSU MABADILIKO YA TABIA NCHI NA ASALI ZAKE NA KUWEZA KUGAWA MICHE YA MITI ZAIDI YA MICHE 200

Kijana wa Youth CAN akitoa elimu ya mabadiliko ya tabia nchi katika shule ya sekondali msimbazi

Kiongozi wa Youth CAN akikabizi kitabu kwa mwalimu kwa ajiri ya kujifunza mabadiliko ya tabianchi katika shule ya sekondari msimbazi

Mwanafunzi wa msimbazi sekondari akikabiziwa kitabu cha mabadiliko ya tabia nchi kwa niaba ya wanafunzi wenzake




Wanafunzi wa msimbazi pamoja na vijana wa Youth CAN wakiwa katika picha ya pamoja baadaa ya kukabiziwa miche ya miti 30
mwanafunzi wa msimbazi sekondari akipanda mti baada ya kukabiziwa  na vijana wa YOUTH CAN





Mwalimu wa msimbazi sekondali akipanda mti baada yaq kukabiziwa na vijana wa Youth CAN
Mwalim mkuu wa shule ya sekondali Ilala akikabiziwa miche ya miti na kiongozi wa Youth CAN

Walimu pamoja na wanafunzi wa shule ya sekondari Majani ya chai wakiwa na vijana wa Youth CAN katika picha ya pamoja baada ya kukabiziwa miche ya miti 30

Walimu wa shule ya sekondari Chanika wakiwa katika picha ya pamoja na vijana wa Youth CAN baada ya kukabiziwa miche ya miti





No comments:

Post a Comment

Translate